"Nataka kukununulia vya kuchinja na vya kuchimbwa💎"
~@watendawili
Have you watched part 1 of Bajaji sessions on Youtube?
#BajajiSessions🛺 #Wozaagang #watendawiliindar
Walikaa wakifikiria hadi kesho🙄 @watendawili @coster_ojwang ni kweli eti?
Watch part 1 of Bajaji Sessions now on Youtube!
#kitendawilitega #BajajiSessions🛺 #wozaagang #watendawiliindar
Bajaji Sessions🛺 ft @watendawili part 1 is out on Youtube! Let's run it up💪🏾
#BajajiSessions🛺 #wozaagang
Wadau - kaeni mkao wa kula!
Introducing Bajaji Sessions ft our first guests @watendawili - @onyachpala @ywaya_tajiri (Wozaa 👐🏾)
Join us as we vibe, talk and experience Dar es Salaam🇹🇿 in a Bajaji 🛺.
TEAM
Created,Produced & Directed by @everbrighteverready
Main Camera @eliaskido_
Second camera @jo.annah._
Bajaji Driver Emmanuel William
Editor @everbrighteverready
Intro jingle by @shullytheeshully
Special thanks @jesuischalii @marliesxo_ @matildawangechi @willynkya @dwinartisthand__ @itslorah @the_ch4ch4 @dj_k.rush @jollz_jolie @scolathitai
#BajajiSessions🛺 #wozaagang
Episode 4- Maintenance payment
Both parents have a legal responsibility to take care of their child. ⚖️�But when it comes to maintenance…
Who is actually responsible? 🤔
Watch the full episode on YouTube to know more. 📺🔥
Episode 4 -Malipo ya matunzo
Wazazi wote wana wajibu wa kisheria kumtunza mtoto wao. ⚖️�Lakini linapokuja suala la matunzo…
Nani anapaswa kuchukua jukumu hili? 🤔
Tazama episode nzima kwenye YouTube kujua zaidi. 📺🔥
#tanzanianlaw #orderinthepod #lawseriespodcast #knowyourrights #marriagelaws
Episode 4- maintainance ⚖️
In this episode, we explore a hot and controversial question:�Does a woman have a legal obligation to maintain her husband? And under what circumstances can a man ask for maintenance?
Watch the full episode now on YouTube to understand the law behind this debate. 📺🔥
Episode 4 – Matunzo ⚖️
Kwenye episode hii, tunachambua swali linalozua mjadala mkubwa:�Je, mwanamke ana wajibu wa kisheria kumtunza mume wake? Na ni katika mazingira gani mwanaume anaweza kudai matunzo?
Tazama episode nzima sasa kwenye YouTube uelewe sheria inasemaje kuhusu mjadala huu. 📺🔥
#tanzanianlaw #orderinthepod #lawseriespodcast #knowyourrights #marriagelaws
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya Tanzania, tendo la ndoa ni muhimu kwani linahalalisha ndoa. Ukosefu wake unaweza kupelekea talaka! Zaidi, tendo hili limewekwa kama jukumu muhimu kwa wanandoa na hivyo, uombaji wa ruhusa ili kupata kushiriki sio lazima; tendo la ndoa ni haki!
Hii ni tofauti na nchi nyingine kama Uingereza ambao kwa mujibu wa sheria zao, ni lazima kupata ridhaa ya mwenza wako ili kuweza kushiriki tendo. Mwenza wako anayo haki ya kukuruhusu, kukukatalia ama kukuruhusu na kisha kukukatalia hata katikati ya tendo. Kushindwa kumsikiliza matakwa yake ni kosa la jinai linaloweza kukupa kesi ya ubakaji.
Katika mwaka huu 2026, Ufaransa wameshapitisha mswada ambao utatokomeza kabisa uhitaji wa tendo la ndoa katika kukamilisha ndoa. Watu hawataweza tena kudai talaka kisa ukosefu wa tendo la ndoa katika ndoa zao.
Nini maoni yako juu ya Sheria hizi?
#orderinthepodlawseries #consentforsexamongmarriedcouples #consummation #legaleducation #marriagelaw
NINI MAONI YAKO?
Tuelezee kwenye
Source: share.google
